Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Mpango wa Ununuzi wa Pamoja wa Dawa na vifaatiba kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), maarufu SPPS, hatua ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama. Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha majonzi baada ya watu wawili kupoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa kwa kupigwa na radi Wilaya ya ...
Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesisitiza kuwa Arsenal lazima waibuke na ushindi dhidi ya Manchester City katika Uwanja wa Etihad iwapo wanataka kuwa mabingwa wa Ligi ...
Meneja kiwanda cha maji Drop of Zanzibar, Mahmoud Hassan akizungumza katika mkutano wa wadau wa viwanda Zanzibar. Picha na Jesse Mikofu Unguja. Ukuaji wa sekta ya viwanda Zanzibar umeshuka kutoka ...
Dar es Saalam. Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa ...
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Nassoro Hamdani mmoani Tabora. Tabora. Mjumbe mstaafu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Tabora, Nassoro Hamdani, amefariki ...
Dar es Salaam. Zaidi ya Sh19 milioni kati ya Sh41 milioni zilizochangwa na Watanzania kwa ajili ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zimepigwa na wajanja ...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama akikabidhi waraka wa ofa Kwa Kaimu Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Pension Fund (APeF), Dk Hamisi Kibola (wa tatu ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene zikiwa zimepita siku 52 tangu alipotangaza baraza jipya la mawaziri, Novemba 17, 2025, ...
Dar/Arusha. Baada Rais Samia Suluhu Hassan kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, limefunguliwa shauri mahakamani la maombi ya ...
Dar es Salaam. Waendesha pikipiki na bajaji nchini wametakiwa kuongeza nidhamu katika utoaji wa huduma ili kuimarisha usalama na utaratibu wa usafiri mijini na vijijini. Endapo nidhamu haitazingatiwa, ...
Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...