NYOTA wa zamani wa Liverpool, Emile Heskey, ametaja wachezaji anaowaona wanaweza kuchukua nafasi ya Mohamed Salah na kusema ...
Mara ya mwisho kwa Yanga kuonja kipigo katika ligi ilikuwa Novemba 7, 2024 ilipofumuliwa mabao 3-1 na Tabora United (sasa TRA United) kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar, ikiwa ni siku chache tu tangu ...
Katika mechi ya juzi dhidi ya Tanzania Prisons, kikosi cha Simba kilichoanza kilikuwa na wageni saba ambao ni Djibril Kassali, Libase Gueye, Inno Loemba, Clatous Chama, Anicet Oura, Ismael Toure na ...
Yanga Jumapili iliyopita ilikuwa ugenini kucheza dhidi ya Namungo na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 huku ikiwakosa nyota wake wanne ambao hawakusafiri kabisa na timu ambao ni Pacome Zouzoua, Clement ...
ALIYEKUWA nahodha na kiungo wa timu ya taifa ya Nigeria, John Mikel Obi, amelaani kauli ya kocha wa Benfica, Jose Mourinho, ...
ARSENAL inaingia kwenye mechi 10 za mwisho za msimu huu ikiwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England, lakini inakabiliwa na ...
Mpira wa miguu, kama michezo mingine mikubwa duniani umegeuka kuwa biashara kubwa inayozifanya klabu ziendeshwe kama ...
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ...
STRAIKA, Viktor Gyokeres amedai kikosi cha Arsenal kilichokuwa kimevunjika moyo kilizidi kuwa karibu zaidi baada ya kikao cha ...
KWA mashabiki wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), ambayo ndiyo maarufu zaidi kwa mchezo wa kikapu duniani watakuwa wamewahi ...
BONDIA wa ngumi za kulipwa aliyetangaza kustaafu miaka michache iliyopita, Floyd Mayweather Jr ametangaza kurejea kwa ...
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeweka masharti mapya kwa makocha ambao wataongoza timu katika mashindano ...