Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Mpango wa Ununuzi wa Pamoja wa Dawa na vifaatiba kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), maarufu SPPS, hatua ...
Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemchagua Jaji Blaise Tchikaya wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) kuwa rais mpya wa taasisi hiyo ya haki barani Afrika, akimrithi ...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akiwa katika kizimba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam. Picha na Michael Matemanga Dar es Salaam. Upande wa mashtaka katika kesi ya uhaini inayomkabili ...
Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesisitiza kuwa Arsenal lazima waibuke na ushindi dhidi ya Manchester City katika Uwanja wa Etihad iwapo wanataka kuwa mabingwa wa Ligi ...
Kocha wa Manchester United, Michael Carrick, ametoa wito kwa kikosi chake kupambana kuhakikisha wanarejea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kukaa nje ya mashindano hayo kwa miaka ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene zikiwa zimepita siku 52 tangu alipotangaza baraza jipya la mawaziri, Novemba 17, 2025, ...
Dar es Saalam. Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es Salaam alipokuwa ...
Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya memhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitatu nasiku 14 jela, Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi ...
Dodoma. Mbunge wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde amekosoa utaratibu wa waajiriwa wapya kufanyiwa mtihani kabla ya kuajiriwa na badala yake ametaka vitumike vyeti. Lusinde ameyasema hayo leo Jumatatu ...
Pacome Zouzoua na Clement Mzize wamekuwa mashujaa wa Yanga leo hii baada ya kuiongoza timu yao kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yaliyoihakikisha timu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results