Waandalizi wamekuwa wakiweka dawa za kuwazuia wadudu hao bila mafanikio. Ingawa mashabiki na wachezaji wa Uingereza walikuwa na wasiwasi kuhusu masuala tofauti kabla ya Kombe la dunia, wamekutana ...