Mshambuliaji wa Bayern Munich Sadio Mane usiku wa jana ameshika nafasi ya pili katika tuzo za mwaka huu za Ballon d'Or, nyuma ya Kareem Benzema aliyefanikiwa kutwaa tuzo hiyo ya mchezaji bora wa dunia ...
Ni lala salama ya AFCON leo katika dimba la Olembe unaopatikana kwenye mji kuu wa Cameroon, Yaounde.Nyota wawili wa Anfield ya England watakutana kuoneshana ubabe katika mchezo unaotarajiwa ...